#Local News

RUSHWA, UFUJAJI TATIZO KUU- EACC

Utoaji na upokeaji rushwa ndilo kosa lililoripotiwa pakubwa nchini huku ufujaji wa fedha, ukiukaji wa maadili na udanganyifu katika ununuzi yakiwa masuala yaliyochunguzwa na tume ya maadili na kukabili ufisadi EACC katika kipindi cha mwaka 2024-25.

Haya ni kulingana na ripoti ya tume hiyo, ambayo pia imeonyesha maafisa wa umma kughushi vyeti vya masomo kupata ajira.

EACC imependekeza uadilifu kudumishwa katika kila sekta.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUSHWA, UFUJAJI TATIZO KUU- EACC

IEBC YATETEA CHAGUZI NDOGO

RUSHWA, UFUJAJI TATIZO KUU- EACC

TANZANIA YAWATAKA RAIA KUSALIA NYUMBANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *