RUTO ATAKUWA MGENI WA HESHIMA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 60 YA JESHI LA WANAHEWA
Rais William Ruto atakuwa mgeni wa heshima katika sherehe za kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la Wanahewa la Kenya (KAF).
Hafla hiyo, itafanyika tarehe nane siku ya Jumamosi katika Kambi ya Ndege ya Moi mtaani Eastleigh kaunti ya Nairobi
KAF ni taasisi muhimu katika muundo wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) na iliyotwikwa jukumu muhimu katika kulinda anga ya Kenya na uadilifu wa eneo
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































