#Local News

WITO WA COG KWA WABUNGE KUHUSU MSWADA

Baraza la magavana (COG) kupitia kwa mwenyekiti wa kamati ya kilimo na vyama vya ushirika Ken Lusaka, limewataka wabunge kuharakisha upitishaji wa mapendekezo ya kufanyia marekebisho mswada wa vyama vya ushirika wa mwaka 2024 ambao uliwasilishwa bungeni humo.

Katika mkutano na kamati ya biashara, viwanda na mashirika katika bunge la kitaifa, Lusaka ambaye pia ni gavana wa Bungoma amekariri haja ya kuwepo kwa sheria ya kudhibiti shughuli na usimamizi wa vyama vya ushirika nchini.

Aidha, gavana huyo amesema kwmaba vyama hivyo vinakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo usimamizi mbaya.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WITO WA COG KWA WABUNGE KUHUSU MSWADA

MWAMBU ATEULIWA KUONGOZA UDA BUNGOMA

WITO WA COG KWA WABUNGE KUHUSU MSWADA

WANDANI WA GACHAGUA WASIKAMATWE, MAHAKAMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *