MWANAMUME AFA MAJI ALIPOKUWA AKIOGELEA KATIKA CHEMI CHEMI YA MAJI HUKO KIRINYAGA

Mwanamume mwenye umri wa miaka 27 amekufa maji kwa alipokuwa akiogelea na marafiki zake katika chemi chemi ya maji ya Wanyiba katika Mto Rwamuthambi, ulioko Kagio, Wadi ya Mutithi, Kaunti Ndogo ya Mwea-Magharibi, Kaunti ya Kirinyaga.
Kulingana na walioshuhudia, akiwemo Patrick Muchoki, marafiki wanne walikuwa wakiogelea pamoja kabla ya kukumbana na mauti.
Imetayarishwa na Janice Marete