#Football #Sports

HOMEBOYZ WAPOTEZA FURSA TENA

Klabu ya Kakamega Homeboyz ilipoteza fursa ya kurejea kileleni kwa ligi ya KPL, kufuatia sare ya goli 1 dhidi ya KCB FC hapo jana.

Homeboyz wana pointi 19 sawa na Gor Mahia, ila wanadunishwa na ubora wa mabao mbali na kucheza mechi 2 zaidi ya wenzao Gor.

Katika matokeo mengine, Shabana FC walikosa adabu na kutangaza ubabe wao, walipowalaza maafande wa Police FC kwa kichapo cha goli 1-0, nao Tusker FC wakirowesha sukari ya Mara Sugar kwa kichapo sawa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

HOMEBOYZ WAPOTEZA FURSA TENA

MATUMAINI YA NAIBOIS CAF YAFIFIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *