MAJAMBAZI 10 WALIONASWA KWENYE CCTV WAKIVAMIA GENGE LA NAIROBI WAMEKAMATWA

Maafisa wa upelelezi wamewakamata washukiwa kumi wanaoaminika kuhusika na visa vya uvamizi jijini Nairobi na viunga vyake.
Polisi wanasema washukiwa waliokuwa kizuizini walikamatwa katika operesheni ya pamoja kufuatia uchunguzi wa visa kadhaa vya wizi wenye ghasia na mauaji vilivyoripotiwa na waathiriwa.
Imetayarishwa na Janice Marete