#Local News

MSAJILI WA WATU AAGIZWA KUFIKA MBELE YA MAHAKAMA YA ELDORET

Familia mbili zinakinzana kuhusu umiliki wa shamba la ekari 30 lenye thamani ya KSh. 30 milioni huko Uasin Gishu baada ya kuwasilisha vyeti vya kifo vinavyokinzana, vikimtaja marehemu Philip Cherono na Paul Kibet Cherono kama wamiliki wa awali.

Kutokana na mkanganyiko huo, Mahakama ya Eldoret imemwagiza Msajili Mkuu wa Watu kufika Julai 21 ili kutoa ufafanuzi kuhusu tofauti zilizopo kwenye majina na tarehe za vifo kabla ya kutoa uamuzi wa mwisho.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *