SERIKALI: TUNAWAPANGA WAFUGAJI

Serikali imeweka mikakati ya kupunguza bei ya malighafi ya kutengeneza vyakula vya mifugo kama njia mojawapo ya kupunguza gharama ya uzalishaji kwa mkulima na kuimarisha ubora wa bidhaa za mifugo nchini.
Kulingana na katibu katika wizara ya kilimo Jonathan Mueke, serikali imepunguza ushuru wa kuagiza malighafi Pamoja na utumizi wa mbinu za teknolojia kama vile vyakula vya kijenetiki.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa