#Local News

SERIKALI MBIONI KUIMARISHA UCHUMI WA BAHARI, MAZIWA

Rais William Ruto ameahidi kuwa serikali yake itaboresha miundomsingi katika sekta ya uchumi unaotegemea raslimali za baharini na maziwani ili kuboresha sekta hiyo na kuongeza mapato.

Rais ameyasema haya mjini Homa Bay kwenye kongamano la uchumi wa sekta hiyo, akisema serikali imewekeza shilingi bilioni 4 kwenye sekta hiyo.

Rais alikuwa ameandamana na kinara wa ODM Raila Odinga ambaye amehimiza usalama kuimarishwa kwenye Ziwa Victoria.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI MBIONI KUIMARISHA UCHUMI WA BAHARI, MAZIWA

JIPU LA MGOMO LATUMBUKA KAKAMEGA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *