WANAHARAKATI BOB, OYOO WASIMULIA MATESO
Hofu kwamba tungewachochea vijana wa kizazi cha Gen Z nchini Uganda ndicho chanzo chetu sisi kutekwa nyara na kuzuiliwa kwa siku 38 katika kambi ya kijeshi ya Kasenyi nchini humo.
Ndiyo kauli ya wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo, wakisimulia masaibu waliyopitia mikononi mwa kikosi maalum cha jeshi la taifa hilo.
Wamefichua kuwa zaidi ya watu 150 wanazuiliwa katika kambi hiyo bila makosa.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































