#Food #Local News

WAPI CHANJO ZA WATOTO?

Uhaba wa chanjo katika hospitali za umma umewaacha Watoto wengi katika hatari ya kupata maambukizi ya maradhi mbali mbali.


Inaarifiwa kwamba uhaba huo umechangiwa na hatua ya serikali kupunguza bajeti ya chanjo kutoka shilingi bilioni 2.6 hadi shilingi bilioni 2.


Yakijiri hayo baraza la magavana sasa linaitaka serikali ya kitaifa kuongeza fedha za kunua chanjo ikisema kwamba huenda familia zenye mapato ya chini ambazo utegemea kupata chanjo katika hospitali za umma zikajipata katika njia panda iwapo hali hiyo haitashughulikiwa.

Imetayarishwa na: Janice Marete

HAKUNA KUPUNGUZA FEDHA ZA MAJANGA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *