#Local News

GAVANA WA NYERI AOMBA MSAMAHA

Gavana wa kaunti ya nyeri mutahi kahiga ameiomba familia ya odinga msamaha na kusema kwamba matamshi yake hayakuwa ya kukejeli kifo chake hatua ambayo imevutia hisia kali kutoka kwa wananchi.

Hata hivyo kutokana na tukio hilo , amejiuzulu kutoka kwa wadhifa wake kama naibu mwenyekiti wa baraza la magavana.   .

Amesisitiza kwamba matamshi yake ya hapo jana yalikuwa yake binafsi na wala sio matamshi yanayowakilisha jamii husika.

Imetayarishwa na Jones Koikai

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *