SOSSION AITAKA WIZARA YA ELIMU KUKAGUA MAJENGO SHULENI

Wito umetolewa kwa wizara ya elimu kuanzisha mchakato wa kukagua majengo shuilni kuhakikisha usalama wa wanafunzi.
Aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha kitaifa cha walimu KNUT Wilson Sossion anasema kuwa visa vya moto shuleni vinsaendelea kuzua hofu miongoni mwa wasomi na wakenya kwa ujumla iwapo wizara ya elimu haitaweka mikakati ya kukagua majengo shuleni.
Sosion amesema kuwa wizara ya elimu in apaswa kukagua majengo shuleni katika madarasa na mabweni ili kuhakikisha usalama wa wanafunzi.
Imetayarishwa na Janice Marete