#Local News

MHUDUMU WA MPESA ADUNGWA KISU KISUMU

Polisi huko Kisumu wanachunguza kisa ambapo mhudumu mmoja wa duka la Mpesa anadaiwa kudungwa kwa kisu akiwa kwenye duka lake sehemu ya Shauri Moyo.

Mercy Muthoni alishambuliwa na mshukiwa mmoja aliyeingia kwenye duka lake kwa kutumia mlango wa nyuma kabla ya kumdunga kwa kisu.

Mshukiwa huyo kwa jina Justine Otieno anashambuliwa na wenyeji waliokuwa na ghadhabu na kumuua papo hapo.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

MHUDUMU WA MPESA ADUNGWA KISU KISUMU

ATWOLI AONYA KUHUSU VURUGU NCHINI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *