#Local News

WAKAAZI WA MOMBASA: RUTO NI WA MANENO MATAMU BILA VITENDO

Huku rais William Ruto akitarajiwa kuhutubia wabunge wa mabunge yote mawili mchana wa leo, wakenya kutoka maeneo mbali mbali wamejitokeza kueleza matarajio yao kutokana na hotuba hiyo.

Katika kaunti ya Mombasa baathi ya wakaazi wanasema kuwa hawana matumaini kwamba rais Ruto atakuwa na loloto jipya la kumfaidi mken yawa kawaida.

Kulingana nao rais ruto ataendelea kutoa ahadi ya miradi mingi ya serikali ila miradi iko mingi aliyoahidi na bado hajatekeleza.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAKAAZI WA MOMBASA: RUTO NI WA MANENO MATAMU BILA VITENDO

ULINZI STARLETS WAFIKA NAFASI YA SABA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *