#Rugby #Sports

MMUST RUGBY WAPATA USHINDI ADIMU

Kikosi cha Masinde Muliro University Rugby kiliandikisha ushindi wake wa kwanza wa msimu wa Kenya Cup baada ya kuwatandika Impala Saracens 20-15 katika pambano la kusisimua lililoandaliwa chuoni humo.

Kabla ya Pambano hilo, Impala walikuwa wamewanyuga Daystar Falcons 50-17, ila wakapata mshtuko mikononi mwa MMUST Rugby.

Akizungumza baada ya mechi hiyo, kocha mkuu wa MMUST John Asila alipongeza ushindi huo, akiwapa sifa vijana wake licha baadhi ya wachezaji wake kuhamia timu nyingine maarufu.

Mechi hiyo ilikuwa ya 3 kwa timu hizo kukutana, zote zikiwa na ushindi mmoja katika mechi 2 za awali.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MMUST RUGBY WAPATA USHINDI ADIMU

GOR MAHIA WAONYESHA WANGALI MAWINDONI

MMUST RUGBY WAPATA USHINDI ADIMU

CARRICK AHIMIZA UDHABITI UNITED

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *