BARAZA LA MAGAVANA LALAMIKIA MADENI
Huenda wakazi katika maeneo ya mashinani wakakosa huduma muhimu zinazotolewa na serikali za kaunti kutokana na kucheleweshwa kwa mgao wa serikali hizo ambao umesababisha kuongezeka kwa madeni.
Kulingana na baraza la magavana likiongozwa na mwenyekiti wake Ahmed Abdullahi, serikali hizo zimepokea shilingi bilioni 400.26 pekee, kati ya shilingi bilioni 600.69 zilizotengwa kwa mwaka wa kifedha uliopita.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































