#Local News

SIWEZI TENA, GACHAGUA KUHUSU KUREJEA SERIKALINI

Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amepuzilia mbali uwezekano wake kurejeshwa katika serikali ya rais William Ruto, anayosema ilimdhalilisha machoni pa wakenya.

Akizungumza kwenye mahojiano na vituo vya redio vinavyopeperusha matangazo kwa lugha ya Kiluhya, Gachaga amekariri kwamba hawezi tena kufanya kazi na serikali hiyo anayoitaja kuwa fisadi.

Wakati uo huo, Gachagua ameibua madai mapya kwamba Rais Ruto alitaka kumhongo kwa shilingi bilioni 2 ili ajiuzulu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SIWEZI TENA, GACHAGUA KUHUSU KUREJEA SERIKALINI

MWAMKO MPYA CHUONI MOI

SIWEZI TENA, GACHAGUA KUHUSU KUREJEA SERIKALINI

UOKOAJI WAENDELEA KWENYE MGODI KAKAMEGA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *