HATIMA YA NYUMBA ZA BEI NAFUU KUJULIKANA LEO

Mahakama kuu leo inatarajiwa kutoa mwelekeo katika kesi ya kupinga utekelezwaji wa sheria ya nyumba kwa bei nafuu.
Majaji Lady Olga Sewe, Chigiti John Mugwimi na Mongare Josephine waliteuliwa na jaji mkuu Martha koome kusikiliza kesi hiyo iliyowasilishwa na wanaharakati wa kutetea haki za binaadamu.
Wakiongozwa na seneta wa Busia Okiya Omtata ndio.
Imetayarishwa na Janice Marete.