#Local News

SERIKALI SAIDIA

Matumaini ya Stephen Munyakho mkenya aliyehukumiwa kunyongwa nchini Yemen yanaendelea kudidimia baada ya waziri wa maswala ya nje na mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi kufichua kwamba serikali ya Kenya haina pesa za kulipa fidia ya shilingi milioni 150 inayodaiwa na familia ya marehemu.

Munyakho huenda akanyongwa kabla ya mwezi huu wa Julai kukamilika iwapo pesa hizo hazitapatikana.

Imetayarishwa na Janice Marete

SERIKALI SAIDIA

WAKAZI WAMWUA MSHUKIWA KOROKORONI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *