RUTO ATOA HATIMILIKI 15000 KITUI
Rais William Ruto leo ametoa hati miliki 15,000 kwa wakazi wa Kamuwongo, Mwingi kaskazini, kaunti ya Kitui,
akizungumza katika hafla hiyo rais Ruto ameangazia uwezekano wa mabadiliko ya mpango katika hatua inayolenga kutatua changamoto za muda mrefu za umiliki wa ardhi .
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 

























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































