#Local News

NPS YAKARIBISHA KUNDI LA KWANZA KUTOKA HAITI

Idara ya polisi NPS imepokea rasmi kundi la kwanza la maafisa wa polisi waliokamilisha muda wa miezi 18 ya kuhudumu katika operesheni ya kurejesha utulivu nchini Haiti, siku 1 baada ya maafisa wengine 230 kutumwa nchini humo kuendeleza operesheni.

Maafisa waliorejea na wenzao ambao pia wanajiandaa kurejea walitumwa mwaka jana na Rais William Ruto aliyewakabidhi bendera ya taifa, ikiashiria kujitolea kwa Kenya katika ushirikiano wa kimataifa na kuwalinda binadamu.

Kwa mujibu wa NPS, maafisa walichangia pakubwa katika kurejesha utulivu nchini Haiti, wakifungua barabara muhimu mbali na kuwaimarisha wenzao wa Haiti.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

NPS YAKARIBISHA KUNDI LA KWANZA KUTOKA HAITI

RUTO APUUZA ‘KELELE’ ZA UPINZANI

NPS YAKARIBISHA KUNDI LA KWANZA KUTOKA HAITI

WAVINYA, KIUSYA WALUMBANA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *