MATIANG’I APUUZA MADAI YA DUALE KUHUSU CBC
Naibu Kiongozi wa Chama cha Jubilee, Fred Matiang’i, amepuuzilia mbali madai ya Waziri wa Afya Aden Duale kwamba ndiye chanzo cha changamoto zinazokumba Mfumo wa Elimu wa CBC, akisema tatizo haliko kwenye mtaala bali kwenye uongozi wa serikali ya sasa. Katika taarifa aliyotoa kufuatia kauli ya Duale kwenye mahojiano na runinga moja humu nchini, Matiang’i amesema […]
English 








































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































