#Local News

KPSEA: FAMILIA ELDORET YASIKITIKIA MTIHANI

Huku wanafunzi wa gredi ya 6 wakikamilisha mtihani wao wa kitaifa wa KPSEA ambao umedumu kwa siku 3, familia moja jijini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu inasikitika hatua ya mwanao mwenye umri wa miaka 14 kukosa kuufanya mtihani huo licha ya kusoma katika gredi ya 6 kwa mwaka mzima.

Kulingana na wazazi wake, shule ya msingi ya Uasin Gishu haikumsajili mwanafunzi huyo licha ya kutimiza masharti yote ikiwemo kulipia ada ya mtihani huo wa KPSEA.

Hata hivyo, wamesema walifahamishwa kwamba mwanao hakuwa kwenye orodha ya watahiniwa Jumatatu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KPSEA: FAMILIA ELDORET YASIKITIKIA MTIHANI

UASU YASISITIZA MGOMO UNGALIPO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *