WAZAZI WATAKIWA KUWAPA WATAHINIWA WA MITIHANI YA KITAIFA MAZINGIRA BORA YA KUFANYIA MITIHANI YAO
Wazazi na walezi wametakiwa kuwapa watahiniwa wa mitihani ya kitaifa mazingira wezeshi ili waweze kufanya mitihani yao kwa amani.
Kamishina wa kaunti ya transnzoia Gedeon Oyagi amesema kuwa mikakati kabambe imewekwa kuhakikisha hakuna visa vya udanganyifu vinashuhudiwa miongoni mwa watahiniwa zaidi ya 20,000 katika kaunti hiyo.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































