#Local News

BONIFACE MWANGIAACHILIWA KWA BONDI

Mahakama imemwachilia kwa bondi ya shilingi milioni 1 mwana harakati Boniface Mwangi aliyekamatwa siku ya jumamosi kwa madai ya kufadhili shughuli za kigaidi.

Mwangi alikamatwa nyumbani kwake eneo la Lukenya kwa madai ya kupatikana na vitoa machozi ,risasi na vifaa vingine kinyume na sheria.

Kesi hiyo itatajwa tena tarehe 19 mwezi ujao.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *