MAHAKAMA YAZIKA SHERIA YA SERIKALI
Mahakama ya rufaa imetia msumari wa mwisho kwenye jeneza la serikali, baada ya kudumisha uamuzi wa mahakama kuu kwamba sheria ya fedha ya mwaka 2023 ni kinyume na katiba, ikisema kwamba mchakato wa kuitengeneza sheria hiyo ulikuwa na dosari. Kwenye uamuzi wake, majaji Kathurima M’inoti, Agnes Murgor na John Mativo wamesema mchakato huo ulikiuka vipengee […]
English 




























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































