#Local News

UJUMUISHWAJI WA KOZI YA ECDE, SHULE MSINGI WAPINGWA

Wizara ya elimu imetakiwa kufutilia mbali agizo linalotaka usitishwaji wa utoaji wa vyeti vya diploma za elimu ya chekechea pekee, linalojumuisha mafunzo ya ECDE na shule za msingi.

Katika kikao maalum, wasomi kutoka vyuo vikuu mbali mbali wamekosoa agizo hilo la katibu mkuu katika wizara ya elimu Julius Bitok, wakisema limeibua hofu miongoni mwa wazazi na wanafunzi hasa ambao tayari wamjisajili vyuo kusomea stashahada hizo.

Kulingana na agizo hilo, elimu ya ECDE na ile ya msingi imejumuishwa ili kubuni kozi moja.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

UJUMUISHWAJI WA KOZI YA ECDE, SHULE MSINGI WAPINGWA

IEC MBIONI KUJAZA PENGO LA MARIJAN

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *