#Local News

VIONGOZI WAPONGEZA ODINGA

Muda mfupi baada ya kiongozi wa Azimio Raila Odinga kutangaza kuchukua mapumziko kutoka siasa za humu nchini, viongozi mbali mbali wamepongeza hatua ya Odinga, wakisema ameacha mchango mkubwa kwa siasa za taifa hili.

Katika mahojiano na runinga moja mapema leo, wakili Willis Otieno amesema kwamba kuondoka kwa kinara huyo kutakuwa na athari kwa siasa za humu nchini.

Aidha, Otieno amepuzilia mbali tetesi za kusambaratika kwa mrengo wa upinzani.

Kauli yake imesisitizwa na mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

VIONGOZI WAPONGEZA ODINGA

POLISI 5 KUJUA HATMA YAO YA DHAMANA

VIONGOZI WAPONGEZA ODINGA

DCI YATANGAZA ZAWADI KUHUSIANA NA KHALISIA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *