WACHANGANUZI WA KISIASA; GACHAGUA AMEJICHIMBIA KABURI MWENYEWE

Wachanganuzi wa maswala ya kisiasa wamehoji kuwa masaibu yanayomkumba naibu wa rais Rigathi Gachagua amejitakia mwenyewe.
Kulingana nao mienendo ya Gachagua inaashiria kuwa hakuelewa vyema majuku yake kama naibu wa rais.
Imetayarishwa na Janice Marete