#Local News

WALIMU WAKUBALI KUINGIA SHA

Mvutano kati ya serikali na walimu kuhusu bima yao ya matibabu umefikia kikomo baada ya walimu kukubali kuhamia bima ya afya ya jamii SHA kutoka kwa ile ya kibinafsi ambayo mkataba wao unakamilika mwishoni mwa mwezi huu.

Uamuzi huo umeafikiwa kufuatia misururu ya mikutano, kaimu afisa mkuu mtendaji wa tume ya kuwaajiri walimu TSC Eveline Mitei akisema kamati maalum itakayojumuisha wawakilishi kutoka TSC na miungano ya walimu itabuniwa ili kusimamia uhamisho huo.

Hata hivyo, walimu wametishia kujiondoa kwenye SHA iwapo haitawahudumia ipasavyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WALIMU WAKUBALI KUINGIA SHA

WAKENYA WAONYWA DHIDI YA SIASA UGENINI

WALIMU WAKUBALI KUINGIA SHA

SOFAPAKA WACHANA BARUA ZA POSTA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *