VIHIGA QUEENS WAANZA MAANDALIZI KWA MSIMU UJAO

Licha Ya Kukamilisha Msimu Uliopita Wa Ligi Ya Wanawake Nchini Kwenye Nambari Mbili Timu Ya Kina Dada Ya Vihiga Queens Sasa Wameanza Mikakati Ya Kuona Kuwa Wanaendeleza Umaarufu Wao Msimu Ujao.
Kocha Wa Timu Hiyo Bonface Nyamu Kwenye Mazungumzo Na Kituo Hiki Anasema Waligundua Makosa Waliyoanya Msimu Uliopita Na Wapo Tayari Kurekebisha Makosa Hayo.
Nyamu Aidha Ana Imani Kuwa Usimamizi Wa Timu Hiyo Ya Kina Dada Utawaunga Mkono Kuhakikisha Timu Inakuzwa.
Imetayarishwa na Nelson Andati