WAACHILIWE AMA TUKUTANE MAHAKAMANI; BABU OWINO AMWONYA INPECKTA JAPHETH KOOME
Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino amekashifu kukamatwa kwa wandamanaji ambao walikamatwa hapo jana na polisi jijini nairobi wakatiandamana kupinga mswada wa fedha wa 2024-2025 na kutishia kuelekea mahakamani iwapo hawataachiliwa mara moja.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































