#Local News

WAMALWA: MLIKOPA MKALISHA NANI?

Kiongozi wa chama cha DAP kenya Eugine Wamalwa amekosoa hatua ya serikali kupunguza kodi kwa baadhi ya bidhaa muhimu.

Katika mahojiano na klituo kimoja cha redio humu nchini. Wamalwa amesema kuwa serikali ingeonyesha nia ya kusikia kilio cha wakenya kwa kupunguza kodi ya mafuta kwani kulingana naye bila kupunguza kodi hiyo wakenya watazidi kukumbwa na hali ngumu ya Maisha.

Wamalwa aidha ameisuta serikali ya kenya kwanza kwa kuongeza mzigo zaidi wa kodi na kwamba fedha zinazokusanywa katika utoaji wa kodi zinafujwa.

Imetayarishwa na Janice Marete

WAMALWA: MLIKOPA MKALISHA NANI?

KOBBIE ATAJWA KWA KIKOSI CHA KWANZA CHA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *