#Football #Sports

FATAKI ZA EPL

Manchester City watalenga kupunguza mwanya wa pointi kati yao na viongozi wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza Arsenal, watakapoikaribisha Brighton ugani Etihad leo usiku.

City ambao walipoteza pointi 4 katika mechi 2 zilizopita, watakosa huduma za mabeki wao mahiri Ruben Diaz na Josko Gvardiol kutokana na majeraha, City wakilalizimika kumrejesha beki wao Max Alleyne aliyekuwa kwenye mkopo katika klabu ya Watford.

Chelsea waliomteua Liam Rossenoir kama mkufunzi kuchukua nafasi ya Enzo Maresca, watavaana na Fulham huku Darren Fletcher akiwaongoza United dhidi ya Burnley kwenye mechi yake ya kwanza.

Arsenal watakabiliana na Liverpool hapo kesho, pambano lililo na ushawishi kuhusu hatma ya ligi hiyo msimu huu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

FATAKI ZA EPL

DIALLO ANG’AA KWA IVORY COAST

FATAKI ZA EPL

RUTO AWAPOTOSHA WAKENYA, MUSYOKA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *