#Local News

AFISA WA SILAHA CENTRAL ATETEA SILAHA KWENYE KESI YA REX

Afisa mkuu anayesimamia hifadhi ya silaha katika kituo cha polisi cha Central amepuulizia mbali madai ya kufichwa kwa maelezo kwenye sajili ya bunduki kwenye Kesi ya mauaji ya Rex Masai.

Akitoa Ushahidi mahakamani, Afisa huyo amekiri kwamba sajili hiyo ilikuwa na makosa kwani nyaraka hutengenezwa kwa Mikono basi ni kawaida kwa makosa kutokea.

Licha ya hitilafu hizo, afisa huyo ameshikilia kuwa daftari la kumiliki silaha limesalia kuwa na rekodi ya kuaminika na kuitaka mahakama kutegemea hilo katika kuamua kesi hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

AFISA WA SILAHA CENTRAL ATETEA SILAHA KWENYE KESI YA REX

BARCHOK APATA PIGO MAHAKAMANI

AFISA WA SILAHA CENTRAL ATETEA SILAHA KWENYE KESI YA REX

WAHADHIRI MOI WAENDELEA NA MGOMO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *