#Local News

UGATUZI: SENETI, BUNGE ZAKOSA MWAFAKA

Huenda utoaji huduma katika serikali za kaunti ukaendelea kutatizika kutokana na ukosefu wa mwafaka miongoni mwa kamati ya upatanishi katika bunge la seneti na lile la kitaifa kuhusu kiwango cha mgao unaofaa kutumwa kwa serikali hizo.

Mwenyekiti wa kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa Ndindi Nyoro ameshikilia kuwa kuna upungufu wa shilingi bilioni 788 kwenye bajeti yam waka hu una hivyo haiwezekani serikali za kaunti kupokea shilingi bilioni 400 jinsi zinavyoshikilia.

Hata hivyo, maseneta wametangaza kutokubali kupunguzwa kwa mgao wa serikali hizo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

UGATUZI: SENETI, BUNGE ZAKOSA MWAFAKA

HUENDA WENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE LA

UGATUZI: SENETI, BUNGE ZAKOSA MWAFAKA

29 BADO HAWAJULIKANI WALIKO, POLISI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *