JOYCILINE AVUNJA REKODI
Joyciline Jepkosgei alikimbia mojawapo ya mbio kali zaidi za maisha yake aliposhinda marathon ya valencia katika muda wa rekodi wa saa 2:14:00.
Mkenya huyo, mwenye umri wa miaka 31, alidhibiti mbio za wanawake kuanzia mapema na kumshinda mwenzake na bingwa wa dunia peres jepchirchir katika hatua za mwisho. Jepchirchir alivuka mstari kwa 2:14:43, na hivo basi kumaliza wa pili
Chloe Herbiet wa ubelgiji alikamilisha jukwaa baada ya kukimbia 2:20:38,
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































