#Local News

KARUA AWATAKA WAKENYA KUTETEA HAKI ZAO

Kiongozi wa chama cha PLP, Martha Karua, ametoa wito kwa wakenya kutetea haki zao kikamilifu huku chama cha wanasheria nchini LSK  kikizindua wiki ya uhamasishaji wa kisheria 2025.

Hafla hiyo ambayo imeanza hii leo na inatarajiwa kuamilika tarehe 31, 2025, ambapo zaidi ya  mawakili 18,000 wa Kenya wakitoa mashauriano ya kisheria bila malipo nchini kote.

Karua ameangazia vikwazo vya kimfumo kwa haki, akibainisha,dhuluma nyingi sana zinaendelea si kwa kukosa sheria, lakini zaidi kwa ukosefu wa ufahamu, uwakilishi, na wakati mwingine, ujasiri wa kuzingatia sheria kama ilivyo.

Imetayarishwa na Jones Koikai

KARUA AWATAKA WAKENYA KUTETEA HAKI ZAO

RAIS RUTO AMEANZA ZIARA YAKE YA SIKU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *