#Local News

NANE WAFARIKI KWENYE AJALI MWINGI

Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali ya barabarani katika eneo la Mwingi huko Kitui imefikia nane. Ajali hiyo ilihusisha matatu ya abiria 14 iliyobingiria na kuanguka kwenye barabara ya Mwingi kuekelea Nairobi watu 5 wakifariki papo hapo.Watu wengine 3 wamefariki wakipokea matibabu,na wale walionusurika wanatibiwa katika hospitali ya Matuu.

Imetayarishwa na Maureen Makhobe

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *