GAVANA SHERIFF; WATEUE MAWAZIRI KUTOKA MOMBASA

Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdullswamad Sheriff Nassir amemrai Rais William Ruto kumteua aghalau mtu mmoja kutoka eneo la pwani hasa Mombasa kuwa Waziri katika orotha ya mawaziri waliosalia.
Kulingana na gavana Sheriff Mombasa ina viongozi wenye uwezo wa kuongoza wizara mbali mbali.
Imetayarishwa na Janice Marete