WAGOMBEAJI MALAVA WATAKIWA KUKUBALI MATOKEO
Wagombeaji wote 7 wa ubunge katika eneo bunge la Malava wametakiwa kukubali matokeo ya uchaguzi mdogo utakaondaliwa eneo hilo hapo kesho bila kuzingatia matokeo.
Ni wito ambao umetolewa na Wakazi eneo hilo, wakisema mshikamano utafanikisha utekelezaji wa maendeleo baada ya uchaguzi huo.
Uchaguzi huo umegeuzwa kuwa upimaji wa ubabe wa kisiasa kati ya muungano wa upinzani na serikali.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































