#Local News

WAZAZI NJIA PANDA MGOMO UKINUKIA

Wazazi walio na watoto katika shule za msingi na upili wanakabiliwa na njia panda kuhusu iwapo wawaruhusu wanao waelekee shuleni Jumatatu kwa muhula wa tatu au la, huku miungano ya kutetea maslahi ya walimu ikishikilia kuwepo kwa mgomo.

Licha ya tume ya kuwaajiri walimu TSC kukubali kutekeleza awamu ya pili ya mkataba wa maelewano, walimu wamsisitizwa kwamba ni sharti matakwa yao yote yatekelezwe kikamilifu, ikiwemo kuwaajiri walimu wa JSS na kuwapandisha ngazi wengine.

Huku hayo yakijiri, Waziri wa fedha John Mbadi amekiri kwamba serikali haina fedha za kuwaajiri walimu zaidi kwa mkataba wa kudumu jinsi inavyoshikizwa na miungano hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAZAZI NJIA PANDA MGOMO UKINUKIA

VIONGOZI WATUMAI ODINGA ATASHINDA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *