WASAFIRI WATAKIWA KUJAZA FOMU YA HISTORIA YAO YA USAFIRI
Watu wanaoingia nchini sasa watatakiwa kujaza fomu kuhusu historia zao za usafiri kando na kufanyiwa vipimo vya ugonjwa wa mpox katika juhudi za kukabili maambukizi zaidi ya ugonjwa wa Mpox.
Katibu katika wizara ya afya Mary Muthoni amefichua kuwa wahudumu wa afya wametumwa katika mipanga mbal mbali ya nchi ili kuwafanyia vipimo wasafiri wanaokuja humu nchini huku akiwataka wakenya kukoma kueneza jumbe za uongo kuhusiana na ugonjwa wa Mpox.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































