#Local News

LAGAT AANDIKISHA TAARIFA NA IPOA

Naibu inspekta mkuu wa polisi Eliud Lagat leo ameandikisha taarifa yake mbele ya mamlaka ya IPOA kuhusiana na kifo tata cha mwalimu Albert Ojwang.

Lagat aliyewasili katika afisi za IPOA Pamoja na wakili wake alihojiwa kwa muda was aa tatu japo yaliyozungumziwa hayajawekwa wazi.

Lagat aliwasilisha lalama zake katika idara ya DCI kuhusu madai yaliyokuwa yamechapishwa na Ojwang kwenye mtandao wake wa kijamii.

Imetayrishwa na Maureen Mukhobe

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *