VIONGOZI WAMTAKA RAIS RUTO KUFUTILIA MBALI SHA
Viongozi mbali mbali wakiwemo wa kidini wameelezea kutorithishwa na utendakazi wa bima mpya ya jamii SHA.
Kwa mujibu wa viongozi hao wagonjwa hasa wale wanaugua marathi sugu wanakabiliwa na changamoto kupata matibabu chini ya SHA.
Viongozi hao aidha wamelalamikia hatua ya serikali ya kufanya madbadiliko ya bima ya afya b ila kutoa maelezo ya kina kwa umma.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































