RUTO, GACHAGUA HAWAWEZI KUCHEZA SIASA ZA KIKABILA NA KUHUBIRI KUHUSU UMOJA WA KITAIFA – KIGAME

Aliyekuwa mgombea wa urais Reuben Kigame amemkashifu Rais Wiliam Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua kwa kueneza jumbe za umoja wa kitaifa ambazo zinakinzana na matendo yao.
Katika mahojiano na runinga moja humu nchini Kigame amekashifu tabia za viongozi hao wawili, akisema kuwa vitendo vyao vimesababisha mgawanyiko nchini.
Imetayarishwa na Janice Marete