WAITITU APATA MDHAMINI KATIKA KESI YAKE
Huenda aliyekuwa gavana wa kiambu Ferdinand Waititu akaachiliwa baada ya kupata mdhamini wa benki katika kesi inayomkabili ya ufisadi.
Kupitia wakili wake waititu amesema kuwa amepata . Dhamana ya benki ya shillingi milioni 53, hitaji muhimu katika azma yake ya kutaka kuachiliwa huru.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































