SHULE KUFUNGULIWA LEO JUMATATU BAADA YA KUAHIRISHWA KWA MUDA

Shule zikifunguliwa leo hii kwa muhula wa pili serikali imetangaza kanuni za usalama kuwalinda wanafunzi, walimu na wafanyakazi wote shuleni.
Katika taarifa wizara ya usalama na maswala ya ndani ya nchi imesema shule zilizoadhiriwa Zaidi na mafuriko hazitafunguliwa leo hii hadi serikali itakapozikarabati shule hizo.
Raymond omolo ni katibu katika wizara wizara ya usalama na maswala ya ndani ya nchi.
English 









































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































