RAIS RUTO ATETEA BIMA YA AFYA SHA, AHIMIZA WANANCHI KUJISAJILI

Kwa mara nyingine Rais wiliam Ruto amejitokeza kutetea bima ya afya SHA akisisitiza manufaa yake kwa wananchi Kwa mujibu wa Ruto SHA inawajali wakenya walio na mapato ya chini au bila mapato yoyote vile vile kukabiliana na mapungufu ambayo yamekuwa yakiwakumbna wananchi chini ya bima ya afya ya awali NHIF.
Ruto aidha am ewahimiza wakenya kuhakikisha wanajiandikisha kwa SHA ilio waweze kunufaika na bima hiyo.
Imetayarishwa na Janice Marete